Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimkaribisha ofisini kwake Waziri wa Mambo ya Ndani Mh. Mwigulu Nchemba tayari kwa mazungumzo Ikulu jijini Dar Es Salaam ( Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Waziri wa Mambo ya Ndani Mh. Mwigulu Nchemba , Ikulu jijini Dar Es Salaam
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Waziri wa Mambo ya Ndani Mh. Mwigulu Nchemba , Ikulu jijini Dar Es Salaam
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Waziri wa Mambo ya Ndani Mh. Mwigulu Nchemba , Ikulu jijini Dar Es Salaam
No comments :
Post a Comment