Kwarara Msikitini

airbnb

Dual Citizenship #2

Dual Citizenship #2

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

Mwanakwerekwe shops ad

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Wednesday, February 22, 2017

MNAKARIBISHWA KATIKA MAULIDI YA KUMSALIA MTUME MUHAMMAD(S.W.A) SEGEREA MWISHO!



ASALAAM ALAIKUM WARAHMATULLAH WABARAKATU
Taarifa ya shughuli ya Maulidi tarehe 11 /03/2017 Katika uwanja wa
Madrasat RAHMAN Segerea Mwisho,Dar-es-salaam

Ndugu zetu katika Imani ,Uongozi na Jumuiya ya Madrasat Rahman 
Segerea inayofuraha kuwaalika katika shughuli ya maulidi yatakayo fanyika 11/03/2017 hapa segerea mwisho.Kuudhuria kwenu ndio 
mafanikio makubwa ya dini yetu tukufu, Pia michango yenu ya hali na mali inakaribishwa.tafadhali wasiliana nasi kwa simu hii 0622617961 kimataifa piga +255 622617961

No comments :

Post a Comment