Kwarara Msikitini

airbnb

Dual Citizenship #2

Dual Citizenship #2

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

Mwanakwerekwe shops ad

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Friday, February 24, 2017

PART 1 - MAKUBWA YA WAKUBWA WA DAR ES SALAAM!!! - INTRIGUES, INTRICACIES AND INNUENDOS IN THE CORRIDORS OF THE BIG BUTTS IN DAR ES SALAAM!

Mama Wema Na Steve Nyerere Warekodiana Kwenye Simu
 - PART 1 Mama Wema Na Steve Nyerere Warekodiana Kwenye Simu ishu ya Wema Sepetu na Paul Makonda sakata la Dawa za Kulevya. Mama Wema Sepetu amemtia matatizoni Steve Nyerere baada ya kumrekodi kwenye Simu wakati wa mazungumzo ya Siri yanayohusu Kukamatwa kwa Wema Sepetu. Steve Nyerere amesikika akisema kuwa Paul Makonda alimtongoza Wema Sepetu na kukataliwa.Mama Wema Na Steve Nyerere wakiongea kwenye Simu wamesikika wakimlaumu mkuu wa Mkoa kwamba amemuonea Wema Sepetu kwani ni mtu wake wa karibu na hivyo angeweza kumuita na kumhoji. Steve Nyerere amesikika pia akisema kuwa Wema havuti Unga ila kama ni Bangi anaenda kutoa ushahidi.

No comments :

Post a Comment