Kwarara Msikitini

airbnb

Dual Citizenship #2

Dual Citizenship #2

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

Mwanakwerekwe shops ad

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Friday, February 24, 2017

PART 2 - MAKUBWA YA WAKUBWA WA DAR ES SALAAM!!! - INTRIGUES, INTRICACIES AND INNUENDOS IN THE CORRIDORS OF THE BIG BUTTS IN DAR ES SALAAM!

Mama Wema Na Steve Nyerere Warekodiana Kwenye Simu
 - PART 2 

Mama wema na Steve Nyerere: Hii ni Part 2 ya Mazungumzo yaliyokuwa ni ya Siri katti ya Mama Wema Sepetu na Steve Nyerere kuhusu ishu ya Wema Sepetu kutajwa kuwa ni mtumiaji wa Madawa ya kulevya.Ni skendo ya aina yake ambapo mazungumzo haya yanayoaminiwa kuwa yalikuwa ni ya siri yanasadikiwa kurekodiwa na Mama wa Msanii Wema Sepetu ambaye kwenye mazungumzo ya simu kati na Mama Wema na Seteve Nyerere, Steve amesikika kuwa anajua kwamba Paul Makonda alimtongoza Wema Sepetu.

No comments :

Post a Comment