Unaweza kufuatilia moja kwa moja historia ya maisha ya mwanamapinduzi wa Zanzibar, Mheshimiwa Kassim Hanga. Historia na maisha ya mwanamapinduzi huyo wa Zanzibar imeandaliwa na Ahmed Rajab na kuwasilishwa na Salma Maulid. Usikose kufuatilia historia hii, kwani ina mambo mengi ambayo bila ya shaka ulikuwa huyajui kuhusiana na mwanamapinduzi huyu na sasa ni wakati wako wa kuweza kuyatambua.
Mtazamo wa Kasim Hanga juu ya muungano wa Tanganyika na Zanzibar.
No comments :
Post a Comment