Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana akifungua semina elekezi kuhusu mabadiliko ndani ya Chama, kwa Wenyeviti na Makatibu wa mikoa na wa wilaya na watendaji, leo katika Ukumbi wa Sekretarieti katika Jengo la Ofisi ya Makao Makuu ya CCM mjini Dodoma.
Washiriki wakiwa kwenye semina elekezi kuhusu mageuzi ndani ya Chama Cha Mapinduzi, leo katikaUkumbi wa Sekretarieti Makao Makuu ya CCM mjini Dodoma.

Katibu wa Sekretarieti ya CCM, Anamringi Macha (kulia) akiratibu semina elekezi kuhusu mageuzi ndani ya Chama Cha Mapinduzi, leo katikaUkumbi wa Sekretarieti Makao Makuu ya CCM mjini Dodoma.
Washiriki wakiwa kwenye semina elekezi kuhusu mageuzi ndani ya Chama Cha Mapinduzi, leo katikaUkumbi wa Sekretarieti Makao Makuu ya CCM mjini Dodoma.
Sekretarieti ikisimamia kufanyika kwa Washiriki wakiwa kwenye semina elekezi kuhusu mageuzi ndani ya Chama Cha Mapinduzi, leo katikaUkumbi wa Sekretarieti Makao Makuu ya CCM mjini Dodoma.
Baadhi ya viongozi wakiwa kwenye semina elekezi kuhusu mageuzi ndani ya Chama Cha Mapinduzi, leo katikaUkumbi wa Sekretarieti Makao Makuu ya CCM mjini Dodoma. Kushoto ni Naibu Katibu Mkuu mpya wa CCM-Zanzibar Dk. Abdalla Juma Abdallah, Naibu Katibu Mkuu wa CCM Mstaafu- Zanzibar, Vuai Ali Vuai, Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Bara, Rodrick Mpogolo, na kutoka kulia ni Katibu mpya wa NEC Oganaizesheni, Lela Ame Silima na Katibu wa NEC Oganaizesheni mstaafu Mohammed Seif Khatib. PICHA ZOTE NA BASHIR NKOROMO
No comments :
Post a Comment