Jee ni KA-TA kiuno au umeme
Written by Ashakh (Kiongozi) // 10/03/2017
KA-TA mwanangu kata, kata chako mwenyewe.
KA-TA usiogope, hutaki usinunuwe
KA-TA usiogope, hutaki usinunuwe
Anasema ni maneno mawili tu KA na TA ndio yanayofanya neno moja KATA.
Wataalamu wa lugha wanaweza kutusaidia neno KATA maana na linavyotukika. Licha ya kuwa wasanii wengi wamelitumia neno KATA kusherehesha mchezo wao.
Anaposema Kata jee anamaanisha nini?
Kukata kiuno kunahitaji shoka au panga. Na siku hizi zaidi kumeingia misumeno ya kukatia.
Ikiwa ni kukata umeme ni kubonyeza button,hapo umeme wote utazimika.
Sasa kipi kinawezekana?
Ingawa wenyewe hawapendi na wanaona tunafanya ishtizai, lakini ndio ukweli kuwa munachoweza ni kukata kiuno na sio umeme.
No comments :
Post a Comment