zanglassworks

AirFreight

Kwarara Msikitini

Dual Citizenship #2

Dual Citizenship #2

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

Mwanakwerekwe shops ad

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Friday, March 17, 2017

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi DKAli Mohamed Shein Azungumza na Wana CCM Kisiwani Pemba!

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCm Zanzibar Dk.Ali Mohamed Sheuin akizungumza na Viongozi wa CCM na Vijana UVCCM wa Majimbo 18 ya Mikoa ya Pemba katika hafla ya kukabidhi vifaa vya Michezo vilivyotolewa na Mfanyabishara na Kada wa CCM,pia Mwakilishi wa Jimbo la Uzini Unguja, Mohamed Raza Daramsi, hafla iliyofanyika ukumbi wa Fidel Castro
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCm Zanzibar Dk.Ali Mohamed Sheuin akipiokea Kombe la Mashindano ya Mpira wa miguu katika Timu mbali mbali za majimbo 18 ya Mikoa ya Pemba,kutoka kwa Mwanamichezo, Mfanyabishara na Kada wa CCM,pia Mwakilishi wa Jimbo la Uzini Unguja, Mohamed Raza Daramsi,(kushoto) katika hafla ya kukabidhi vifaa vya Michezo vilivyotolewa na Raza katika hafla iliyofanyika ukumbi wa Fidel Castro leo,[Picha na Ikulu.]

No comments :

Post a Comment