zanglassworks

AirFreight

Kwarara Msikitini

Dual Citizenship #2

Dual Citizenship #2

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

Mwanakwerekwe shops ad

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Friday, March 17, 2017

Tundu Lissu aeleza sababu za kugombea Urais TLS!


Chaguzi wa Urais wa chama cha wanasheria Tanganyika unatarajiwa kufanyika kesho March 18 2017, wakati ukisubiria uchaguzi huo, umefanyika mkutano mkuu wa chama cha wanasheria wa Tanganyika na Mgombea wa nafasi hiyo Tundu Lissu alipata nafasi ya kueleza sababu za kugombea nafasi hiyo.

“Sababu za mimi kugombea Urais wa TLS ni kutaka kurudisha heshima ya Wanasheria na Mahakama ikiwa kama chombo kikuu cha haki”– Tundu Lissu

No comments :

Post a Comment