Leo kamati kuu ya maadili ya chama cha mapinduzi imekaa na kufanya maamuzi mbalimbali Dodoma, Baada ya kikao cha halmashauri kuu, katibu wa itikadi na uenezi, Humphrey Polepole amezungumza na waandishi wa habari kuhusu kuwasimamisha, kuwapa onyo na kuwafukuza wanachama pamoja na wajumbe wa halmshauri kuu wa chama cha mapinduzi.

No comments :
Post a Comment