Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimlaki balozi wa Umoja wa Ulaya nchini Mhe. Roeland Van de Geer alipokutana naye Ikulu jijini Dar es salaam leo April 6, 2017.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiwa katika mazungumzo na balozi wa Umoja wa Ulaya nchini Mhe. Roeland Van de Geer alipokutana naye Ikulu jijini Dar es salaam leo April 6, 2017.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiagana na balozi wa Umoja wa Ulaya nchini Mhe. Roeland Van de Geer baada ya kukutana naye kwa mazungumzo Ikulu jijini Dar es salaam leo April 6, 2017.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akipata picha ya kumbukumbu na balozi wa Umoja wa Ulaya nchini Mhe. Roeland Van de Geer alipokutana naye kwa mazungumzo Ikulu jijini Dar es salaam leo April 6, 2017
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiagana na balozi wa Umoja wa Ulaya nchini Mhe. Roeland Van de Geer baada ya kukutana naye kwa mazungumzo Ikulu jijini Dar es salaam leo April 6, 2017.
PICHA NA IKULU
No comments :
Post a Comment