Kwarara Msikitini

airbnb

Dual Citizenship #2

Dual Citizenship #2

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

Mwanakwerekwe shops ad

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Thursday, April 6, 2017

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, Azungumza na Walimu wa Mikoa ya Pemba!

Rais wa Zanzibar na Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akifuatana na Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Mmanga Mjengo Mjawiri mara alipowasili katika viwanja vya Skuli ya Fidel Castro Wilaya ya Chake chake Pemba kuzungumza na Walimu wa Skuli za msingi na Sekondari za Serikali na Binafsi katika Mikoa ya Pemba leo,akiwa katika ziara yake kisiwani humo,[Picha na Ikulu.] 06/04/2017.
Rais wa Zanzibar na Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na Walimu wa Skuli za msingi na Sekondari za Serikali na Binafsi katika Mikoa ya Pemba leo katika Ukumbi wa Skuli ya Fidel Castro Wilaya ya Chake chake Pemba akiwa katika ziara yake kisiwani humo
Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Mmanga Mjengo Mjawiri mara alipokuwa akimkaribisha Rais wa Zanzibar na Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) kuzungumza na Walimu wa Skuli za msingi na Sekondari za Serikali na Binafsi katika Mikoa ya Pemba leo katika Ukumbi wa Skuli ya Fidel Castro Wilaya ya Chake chake, akiwa katika ziara yake kisiwani humo.

Baadhi ya Wakuu wa Wilaya za Mikoa ya Pemba na Afisa Tawala wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) alipozungumza na Walimu wa Skuli za msingi na Sekondari za Serikali na Binafsi katika Mikoa ya Pemba leo katika Ukumbi wa Skuli ya Fidel Castro Wilaya ya Chake chake, akiwa katika ziara yake kisiwani humo

Baadhi ya Walimu wa Skuli za msingi na Sekondari za Serikali na Binafsi katika Mikoa ya Pemba wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) alipozungumza nao leo katika Ukumbi wa Skuli ya Fidel Castro Wilaya ya Chake chake, akiwa katika ziara yake kisiwani humo,[Picha na Ikulu.] 06/04/2017.

No comments :

Post a Comment