Simon Sirro ameteuliwa na Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania, Mhe. John Pombe Magufuli kuwa Mkuu wa Jeshi la Polisi (IGP), tarehe 28 Mei, 2017 amemteua Kamishna wa Polisi Simon Sirro kuwa Mkuu wa polisi (IGP).
Hili blog ni kuhusu Tanzania na dunia nzima kwa ujumla. Pita kila siku kwa habari moto moto. (This blog is about Tanzania and the world as a whole. Pass-by everyday for breaking news). ***********************KARIBUNI NYOTE / YOU ARE ALL WELCOME!***********************
No comments :
Post a Comment