Ulaji wa kisamvu kwa wingi ni muhimu kwa sababu zifuatazo;
- Kuua bacteria mwilini
- Chanzo cha protini.
- Kulinda ini.
- Chanzo cha madini ya chuma
- Kuongeza damu na kuzuia anemia.
- Kuongeza ubora wa mbegu za uzazi za mwanaume.
- Kupunguza kiwango cha sukari kwenye damu.
- Kupunguza kiwango cha kolesteroli mwilini.
- Kuboresha kiwango cha wamama wanonyesha.
- Kuimarisha kinga za ini mwilini.
No comments :
Post a Comment