dual citizenship

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

Mwanakwerekwe shops ad

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Monday, July 17, 2017

Tamko kuhusu Mashekhe wa Uamsho, Leo Julai 16!


Kwaniaba ya Waislamu Mwenyekiti wa taasisi ya Imam Bukhari, Sheikh khalifa Khamisi ameeleza kwa masikitiko makubwa Madhira ambayo wameendelea kufanyiwa watuhumiwa wa kesi mbalimbali za ugaidi hapa nchini hususani Masheikh wa Uamsho waliokamatwa Visiwani Zanzibar mwaka 2012, ambapo amemuomba Rais Magufuli kuingilia kati ili watuhumiwa hao wapewe haki yao kwani wamekaa mahabusu muda mrefu.

Akizungumza na Waandishi wa habari Jijini Dar es salaam, Sheikh Khalifa amesema Watuhumiwa hao wanafanyiwa manyanyaso  wakati mahakama bado haijawahukumu na kuwakuta na makosa wanayotuhumiwa, jambo ambalo limewafanya kutoa tamko hili...

No comments :

Post a Comment