Top Leaderboard Advert

Mwanakwerekwe shops ad

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

Zanzibar Diaspora

High class shops @ Fuoni

High class shops @ Fuoni

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Adsense Marquee

Monday, July 17, 2017

USA: WATANZANIA WA NEW YORK WAANDAA BBQ YA KUKATA NA SHOKA!Kutoka kushoto ni Lunda, NY Ebra, Mwakilishi wa Kudumu wa Tanzania kwenye Umoja wa Mataifa, Mhe. Modest J. Mero, Jaji Mkuu mstaafuMhe. Jaji Othman Chande na Ibra katika picha ya pamoja walipokua kwenye BBQ ya nguvu iliyoandaliwa na Jumuiya ya New York na kuikaribisha timu ya soka ya DMV kwa ajili ya kunogesha choma nyama hiyo iliyofanyika siku ya Jumamosi July 15, 2017 katika viwanja vya Lincoln Park, Jersey City, New Jersey.


Mfugo ukichomwa 
Vyuku nao wakichomwa.

Wadau wakipata vinywaji vyepesi na nyama choma
Kwa picha zaidi bofya soma zaid
iNo comments :

Post a Comment