Wakili wa upande wa utete katika kesi inayowakabili Mashekh 22 wanaotuhumiwa kwa Ugaidi ameeleza kuwa Mahakama ya rufaa imekubali rufaa ya Mkuregenzi wa Mashtaka wa Serikali.
wakili Juma Nassoro ametoa ufafanuzi juu ya rufaa hiyo leo na kwamba kesi hiyo itaendelea kutajwa kwenye Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu.
No comments :
Post a Comment