Kwarara Msikitini

airbnb

Dual Citizenship #2

Dual Citizenship #2

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

Mwanakwerekwe shops ad

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Saturday, September 23, 2017

RAIS DKT MAGUFULI ATUNUKU KAMISHENI KWA MJAAFISA WAPYA 422 WA JWTZ JIJINJI ARUSHA!

Maafisa wapya 422 wakipita Jukwaa kuu baadea ya kutunukiwa kamishenin  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nan Amiri Jeshi Mkuu Dkt. John Pombe Magufuli Uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha leo Septemba 23, 2017.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Dkt. John Pombe Magufuli akitunuku kamisheni kwa maafisa wapya 422 katika Uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha leo Septemba 23, 2017.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na jukwaa kuu katika sherehe ya kutunuku kamisheni kwa maafisa wapya 422 katika Uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha leo Septemba 23, 2017
  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania an Amiri Jeshi Mkuu Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia maelfu ya wananchi katika Uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha leo Septemba 23, 2017
 Sehemu ya umati wa maelfu ya wananchi ukimsikiliza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania an Amiri Jeshi Mkuu Dkt. John Pombe Magufuli Uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha leo Septemba 23, 2017
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania an Amiri Jeshi Mkuu Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia maelfu ya wananchi katika Uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha leo Septemba 23, 2017
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na madiwani na waliowahi kuwa madiwani wa CHADEMA walioamua kuhamia CCM wakati wa sherehe za kukamisheni maafisa wapya wa kijeshi katika Uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha leo Septemba 23, 2017
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na madiwani na waliowahi kuwa madiwani wa CHADEMA walioamua kuhamia CCM wakati wa sherehe za kukamisheni maafisa wapya wa kijeshi katika Uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha leo Septemba 23, 2017.

No comments :

Post a Comment