Kwarara Msikitini

airbnb

Dual Citizenship #2

Dual Citizenship #2

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

Mwanakwerekwe shops ad

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Wednesday, October 11, 2017

Kuhusu Lissu, CHADEMA Wamjibu IGP Sirro!

Siku chache baada ya Mkuu wa jeshi la polisi nchini IGP Simon Sirro kutaka mjadala kuhusu kupigwa risasi kwa mbunge wa Singida Mashariki Tundu Lissu, ufungwe mara moja, Leo Oktoba 11, 2017 Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kupitia kwa wakili wake John Malya kimemjibu IGP kwa kumwambia kuwa hana mamlaka kikatiba ya kuzuia Wananchi wasijadili lolote.

No comments :

Post a Comment