Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia kwa Naibu Katibu Mkuu wa Chadema, Zanzibar, Salum Mwalimu leo Jumatano wakati akizungumza na waandishi wa habari amesema wameshutshwa sana kauli aliyoitoa Rais John Pombe Magufuli hivi karibuni kuhusu kutopandisha mishahara ya watumishi wa umma ambapo wamemkumbusha kuirejea kauli yake aliyoitoa mwezi Mei mwaka huu kwenye sherehe ya siku kuu ya wafanyakazi kuwa katika bajeti ya Serikali 2017/2018 itaongeza mishahara ya kawaida kwa wafanyakazi (Annual Increament).
Hili blog ni kuhusu Tanzania na dunia nzima kwa ujumla. Pita kila siku kwa habari moto moto. (This blog is about Tanzania and the world as a whole. Pass-by everyday for breaking news). ***********************KARIBUNI NYOTE / YOU ARE ALL WELCOME!***********************
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
No comments :
Post a Comment