Kwarara Msikitini

airbnb

Dual Citizenship #2

Dual Citizenship #2

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

Mwanakwerekwe shops ad

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Thursday, October 12, 2017

Sheikh Ponda apewa siku tatu kujisalimisha Polisi!


Kamanda wa Polisi kanda maalumu Dar es salaam Lazaro Mambosasa ametoa siku tatu kwa Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu Tanzania, Sheikh Issa Ponda kulipoti kwa ZCO ili aweze kuhojiwa kufuatia mkutano alioufanya jana na wandishi wa habari jijini Dar es salaam.Kamanda Mambosasa amesema hayo leo alipokua akizungumza na waandishi wa habari leo na kumtaka Sheikh Ponda afike ili aweze kuhojiwa na kama atakutwa na kosa la jinai ambalo anadaiwa kulifanya aweze kufikishwa kwenye vyombo husika.                   

No comments :

Post a Comment