Akizungumza na AZAM TV kwenye Taarifa ya Habari ya saa mbili usiku jana, Spika mstaafu wa Bunge la Tanzania Pius Msekwa anasema itakuwa ngumu sana kwa Bunge au Chama cha Mapinduzi kuongeza muda wa Rais kukaa madarakani zaidi ya miaka 5 kwa awamu kama walivyokubaliana toka zamani.
Kasema hata wao Enzi zao walishajadiliana kuhusu hili na waliiona tatizo litakuwa pale Nchi ikipata Rais mbaya kwani miaka zaidi ya 5 kwa awamu italeta shida sana katika Nchi.
kwahiyo akashauri utaratibu wa miaka 5 angependa uendelee.
kwahiyo akashauri utaratibu wa miaka 5 angependa uendelee.
No comments :
Post a Comment