dual citizenship

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

Mwanakwerekwe shops ad

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Monday, November 27, 2017

Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan Afungua Kikao Cha Kujadili Changamoto za Muungano Zinazohusu Sekta ya Fedha na Biashara!


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan leo ameongoza kikao kilichuhudhuriwa na Mawaziri kutoka Serikali ya Muungano na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar na Viongozi wengine ambacho kimejadili changamoto za Muungano zinazohusu sekta ya fedha na biashara katika ukumbi wa ofisi ya Makamu wa Rais ,Luthuli jijini Dar es Salaam.
Sehemu ya Wajumbe waliohudhuria ufunguzi wa kikao cha kujadili changamoto za Muungano zinazohusu sekta ya fedha na biashara katika ukumbi wa ofisi ya Makamu wa Rais ,Luthuli jijini Dar es Salaam. ​
Sehemu ya Wajumbe waliohudhuria ufunguzi wa kikao cha kujadili changamoto za Muungano zinazohusu sekta ya fedha na biashara katika ukumbi wa ofisi ya Makamu wa Rais ,Luthuli jijini Dar es Salaam.

(Picha zote na Ofisi ya Makamu wa Rais)​

 Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais anayeshughulikia Muungano na Mazingira Mhe. January Makamba akielezea masuala mbali mbali ambayo yamejadiliwa na Mawaziri wa Tanzania Bara pamoja Visiwani.
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan (katikati)akiongoza kikao cha  Kamati ya Pamoja ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, kushoto ni Waziri wa Nchi Afisi ya Makamo wa Pili wa Rais Zanzibar Mhe. Mohamed aboud Mohamed na kulia ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais anayeshughulikia Muungano na Mazingira Mhe. January Makamba. 
 Baadhi ya Mawaziri kutoka Serikali ya Mapinduzi Zanzibar wakifuatilia kwa makini kikao hicho ambacho changamoto mbali mbali zinazohusu Muungano zinajadiliwa.
 Baadhi ya Mawaziri kutoka Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wakifuatilia kwa makini kikao hicho ambacho changamoto mabli mbali zinazohusu Muungano zinajadiliwa.
Picha na Eliphace Marwa - Maelezo

No comments :

Post a Comment