dual citizenship

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

Mwanakwerekwe shops ad

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Monday, November 27, 2017

Rais wa Zanzibar akutana na Mabalozi - Balozi Issa Suleiman Nassor na Balozi Kaniki!

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akizungumza na Mabalozi wa Tanzania wanaowakilisha Nchi za Zambia na Misri, kulia Balozi wa Tanzania Nchini Misri Mhe. Meja Jenerali Issa Suleiman Nassor na Balozi wa Zambia Mhe Abrahaman Kaniki, walipofika Ikulu Zanzibar kumuaga Rais wa Zanzibar leo 27-11-2017.(Picha na Ikulu)



ABOVE: Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif akiagana na Balozi wa Tanzania Nchini Misri Meja Jegerali Issa Suleiman Nassor aliyekaa upande wa Kulia yake na Balozi Abdulrahman Kaniki aliyekaa upande wa Kushoto walioteuliwa hivi karibuni na Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. John Pombe Magufuli kushika nyadhifa hizo.

No comments :

Post a Comment