zanglassworks

AirFreight

Kwarara Msikitini

Dual Citizenship #2

Dual Citizenship #2

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

Mwanakwerekwe shops ad

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Sunday, November 12, 2017

Zitto Kabwe aomba msaada serikalini!

Mbunge wa Kigoma Mjini kupitia ACT Wazalendo, Zitto Zuberi Kabwe, ameonyeshwa kushangazwa na kitendo cha serikali kutangaza mradi mkubwa wa ujenzi wa reli ya Standard Gauge huku vifaa vingi vikiagizwa kutoka nje ya nchi na kuomba msaada wa ufafanuzi.

Kwenye ukurasa wake wa facebook Zitto Kabwe ameandika waraka akitaka maelezo kutoka serikalini, ni kwa namna gani serikali inaendesha mradi mkubwa kama huo bila kuweka vifungu vya kufungamanisha na sekta nyengine nchini, na kudhamiria kuagiza chuma nje wakati nchi ina chuma ambacho bado hakijaanzwa kuchimbwa.


Usome ujumbe wote hapa chini.
/Muungwana.

No comments :

Post a Comment