Kwarara Msikitini

airbnb

Dual Citizenship #2

Dual Citizenship #2

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

Mwanakwerekwe shops ad

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Tuesday, December 26, 2017

Kocha Mohammed King afiwa na baba yake mzazi!

Image result for inna lillahi wa inna illahi rajiun

Kocha wa zamani wa Baghdad, Azam FC, Jang'ombe Boys, JKU na Miembeni City Mohammed Seif Mzee (King) amefiwa na baba yake mzazi, Seif Mzee aliyefariki jan.

Marehemu Mzee Seif aliwahi kuwa Daktari katika Hospitali Kuu ya Mnazi Mmoja pia aliwahi kufanya kazi katika Meli ya Mv Mapinduzi.

Marehemu Seif kazikwa leo Jumanne saa 4:00 za asubuhi nyumbani kwao Chaani Kichungwani.

No comments :

Post a Comment