Kwarara Msikitini

airbnb

Dual Citizenship #2

Dual Citizenship #2

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

Mwanakwerekwe shops ad

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Monday, December 25, 2017

TANGAZO LA MSIBA CALGARY, ALBERTA, CANADA!


Tangazo La Msiba Calgary Alberta Canada 

Hakika jicho linatoa chozi na moyo unahuzinika.
Tunasikitika kutangaza kifo Cha Kaka yetu Mpendwa Makame Abdullah Makame kutoka Tanzania  kilichotokea leo jioni Jumapili tareikh 24/12/2017 katika mji wa Calgary, Alberta, Canada. 

Maziko yatatangazwa baada kutoka mwili wa marehemu Peter  Lougheed Center baina Tuesday 26Dec - Friday 29Dec 2017 na Maziko yatafanyika Akram Jomaa Masjid 2624 37 Ave NE Calgary AB T1Y 5V7.

Kamati ya Mazishi. 
Muandaji wa Mazishi Sh.Abdulaziz El Shuwehdy 
403.9730428.

Masuala ya Kifamilia Ndugu Mohammad Omar 
403.6079383.

Mchango wa Mazishi Ndugu Sekulu Mohammad 
403.5617895.

Msambazaji Taarifa kwa Jumuiya ya Tanzania Ndugu Fuad 
403.9755036.

Utayarishaji wa shughuli za Dua Ndugu Salum Nasser 
587.8892549.

Wajumbe Ndugu Mahmoud Vuai 
587.7185807 

na 

Ndugu Ismael Rubama 
403.5616086. 

Tutapokea mchango wowote ule kufanikisha shughuli ya Mazishi na uwasilishwe kwa Ndugu Sekulu Mohammad 
403.5617895. 

Tunamuomba Allah Mkwasi amrahamu ndugu yetu Makame Abdullah na kumghufuria dhambi zake zote na kumpa malazi mema peponi.Ameen. 

Ndugu yenu Mwenyekiti wa Kamati ya Mazishi Sh.Abdulaziz El Shuwehdy

***Kila atakaelisoma tangazo hili amjulishe na mwengine!***

No comments :

Post a Comment