Kwarara Msikitini

airbnb

Dual Citizenship #2

Dual Citizenship #2

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

Mwanakwerekwe shops ad

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Wednesday, February 7, 2018

UCHAGUZI WA WANA-DIASPORA HUKO DMV MAREKANI UMEWIVA!

2018 ATC METRO ELECTION* Uchaguzi ni March 24th FOMU ZA WAGOMBEA ZISHATOKA
Registration phase ya kusajili wagombea inaanza Jumamosi 3 February 2018 mpaka 11 February 2018. Tunahamasisha wale wanaotaka kugombea nafasi za uongozi wawasiliane na mjumbe yotote wa AMEC. kuanzia saa 2 asubuhi (8am)

Available seats are:
6 Seats - Executive Committee
1. President
2. Vice President
3. Secretary
4. Assistant Secretary
5. Treasure
6. Assistant Treasurer
5 Seats - Board of Directors
3 Seats - Trustees of the Association

Kila mgombea anatakiwa kulipa *$120 annual membership fees* wakati wa kujaza fomu.

Fomu zote zitajazwa in-person na kisainiwa na mgombea na mjumbe wa AMEC. Fomu hazitatumwa kwa mail au e-mail.

Tafadhali wasiliana na AMEC kama utapenda kugombea nafasi ya Uongozi ATC-Metro
ATC Metro Electoral Commission (AMEC) Team
Robert Saulanga/President/202.384.9726
Richard Mawenya/Vice President/240.462.2480
Julius Manase/Secretary/240.393.8445
Eddah Ghachuma/Treasure/301.686.4175
Jessica Mushala/Commissioner/301.807.4934
Kenyata Mayanga/Commissioner/240.723.8617
Simba Abdoul/Commissioner/202.758.7805

Asanteni.

Ili kupiga kura lazima uwe active member. Kama ulitoa mchango kwaajili ya Mkutano mkuu ulio fanyika January 14, 2018 hutakiwi kulipia tena. Kama hukutoa unapaswa kutoa ili uweze kupaza sauti kwa kuchagua kiongozi utakaye ona anafaa.

Kwa maelezo na ufafanuzi zaidi wasiliana na viongozi wa Tume ya Uchaguzi 

Robert Saulanga/Mkiti +1 (202) 384-9726 
Julius Manase/Katibu ‭+1 (240) 393-8445‬
Eddah Gachuma /Muhazini +1 (301) 686-4175

Tafadhali kama ulikua hujalipa $20 katika mkutano wa kuchagua kamati ya uchaguzi unaombwa ulipie sasa usije ukapoteza haki yako ya msingi ya kupiga kura fuata maelekezo hapo mwanzo na tafadhali lipia mapema uwe na haki ya kupiga kura.

No comments :

Post a Comment