Wanafunzi wa Shule ya Msingi Kibedya (Wilaya ya Gairo) wakipata chakula cha mchana kwenye dinning room ya shule (nje)!
Haieleweki hilo vumbi hapo linaepukwaje!
Hili blog ni kuhusu Tanzania na dunia nzima kwa ujumla. Pita kila siku kwa habari moto moto. (This blog is about Tanzania and the world as a whole. Pass-by everyday for breaking news). ***********************KARIBUNI NYOTE / YOU ARE ALL WELCOME!***********************
No comments :
Post a Comment