AirFreight

Kwarara Msikitini

Dual Citizenship #2

Dual Citizenship #2

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

Mwanakwerekwe shops ad

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Saturday, March 31, 2018

HEALTH: Zifahamu Dalili za awali za Saratani ya Matiti!

Matiti ni kiungo muhimu katika mwili wa mwanamke. Kama vilivyo viungo vingine matiti huathiriwa na magonjwa mbalimbali. Mojawapo ya magonjwa hayo ni saratani(kansa).

Zifuatazo zinaweza kuwa dalili zinazo ashiria saratani ya  matiti.
  1. Uvimbe ambao hauna maumivu kwenye titi moja au matiti yote.
  2. Ngozi ya matitu kuwa na rangi nyekundu au kidonda.
  3. Chuchu kukunjamana.
  4. Chuchu kuingia ndani.
  5. Kutoka damu au majimaji yenye damu au rangi isiyokuwa ya kawaida kwenye titi.

No comments :

Post a Comment