Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira, January Makamba ameandika maneno 23 ya kumfariji Mbunge wa Tarime Vijijini, John Heche kufuatia kifo cha Mdogo wake Chacha Heche Suguta ambaye inasemekana ameuawa kwa kuchomwa kisu na askari wa jeshi la Polisi
Kupitia ukurasa wake wa Twitter Makamba ameandika “John Heche Pole sana kwa msiba wa mdogo wako. Mpe pole zangu Mama na wanafamilia wote. Mungu atampa pumziko la milele na mwanga wake utamuangazia.”
Kupitia ukurasa wake wa Twitter Makamba ameandika “John Heche Pole sana kwa msiba wa mdogo wako. Mpe pole zangu Mama na wanafamilia wote. Mungu atampa pumziko la milele na mwanga wake utamuangazia.”
No comments :
Post a Comment