Kwarara Msikitini

airbnb

Dual Citizenship #2

Dual Citizenship #2

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

Mwanakwerekwe shops ad

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Sunday, April 29, 2018

ZANZIBAR YAJIANDAA KUTAKA KUTENGENEZA MELI



Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akisalimiana na Mwakilishi wa Makampuni ya "Privinvest" na Advance Martime Transport"(AMT) kutoka Dubai yanayotengeneza Meli aina mbali mbali Bw.Jean Boustany alipofika Ikulu Zanzibar leo kwa mazungumzo pamoja na Ujumbe aliofuatana nao
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein(kulia) akifuatana na Bw.Jean Boustany, Mwakilishi wa Makampuni ya "Privinvest" na Advance Martime Transport"(AMT) kutoka Dubai yanayotengeneza Meli aina mbali mbali mara baada ya mazungumzo yao alipofika Ikulu Zanzibar leo
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein(kulia) akiagana na Bw.Jean Boustany Mwakilishi wa Makampuni ya "Privinvest" na Advance Martime Transport"(AMT)kutoka Dubai yanayotengeneza Meli aina mbali mbali, mara baada ya mazungumzo yao alipofika Ikulu Zanzibar leo,(kulia) Balozi Mdogo wa Tanzania Nchini Dubai Ali Jabir Mwadini, [Picha na Ikulu.] 28 April 2018.

No comments :

Post a Comment