Kwarara Msikitini

airbnb

Dual Citizenship #2

Dual Citizenship #2

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

Mwanakwerekwe shops ad

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Tuesday, May 29, 2018

CCM YARIDHIA KINANA KUJIUZURU NAFASI YA KATIBU MKUU WA CCM JANA!

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Dkt. John Pombe Magufuli akiongoza kikao cha Kamati Kuu (CC) ya chama hicho iliyokutana ukumbi wa Kikwete jijini Dar es salaam leo Mei 28, 2018 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Dkt. John Pombe Magufuli akisoma barua ya Katibu Mkuu wa CCM Ndg. Abdulrahman Kinana (kulia) ya kumuomba kujiuzuru nafasi hiyo mbele ya wajumbe wa Mkutano wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM (NEC) iliyokutana ukumbi wa Kikwete jijini Dar es salaam leo Mei 28, 2018. Kushoto ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi na Makamu wa Mwenyekiti wa CCM (Visiwani) Dkt. Ali Mohamed Shein.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Dkt. John Pombe Magufuli, baada ya kumkubalia, akimshukuru na kumwombea kila la heri Katibu Mkuu wa CCM Ndg. Abdulrahman Kinana (kulia) baada ya kusoma barua yake ya kuomba kujiuzuru nafasi hiyo mbele ya wajumbe wa Mkutano wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM (NEC) iliyokutana ukumbi wa Kikwete jijini Dar es salaam leo
Katibu Mkuu wa CCM Ndg. Abdulrahman Kinana (kulia) akisema machache ya kushukuru baada ya barua yake ya kuomba kujiuzuru nafasi hiyo kukubaliwa mbele ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Dkt. John Pombe Magufuli na wajumbe wa Mkutano wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM (NEC) iliyokutana ukumbi wa Kikwete jijini Dar es salaam leo
Katibu Mkuu wa CCM Ndg. Abdulrahman Kinana (kulia) akisema machache ya kushukuru baada ya barua yake ya kuomba kujiuzuru nafasi hiyo kukubaliwa mbele ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Dkt. John Pombe Magufuli na wajumbe wa Mkutano wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM (NEC) iliyokutana ukumbi wa Kikwete jijini Dar es salaam leo.

(Picha na IKulu)

No comments :

Post a Comment