Viongozi katika idara ya ulinzi wa Israel wakutana kisiri na balozi wa Iran mjini Amman Mucteba Firdevsi Bur nchini Jordan. Viongozi hao wamekutana na kuzungumzia mzozo uliopo Kusini-Magharibi mwa Syria.
Kulingana na taarifa zilizotolewa na jarida la Saudi Arabia ambalo makao makuu yake yapo mjini London Ilaf ni kwamba viongozi katika idara ya ulinzi ya Israel wamekutana kisiri na balozi wa Iran mjini Amman nchini Jordani.
Katika mazungumzo yao alishiriki pia naibu mkurugenzi wa idara ya upelelezi wa Israel.

No comments :
Post a Comment