Kwarara Msikitini

airbnb

Dual Citizenship #2

Dual Citizenship #2

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

Mwanakwerekwe shops ad

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Sunday, May 27, 2018

Mahafali ya Kumi na Moja Kidatu cha Sita Skuli ya Tumekuja Zanzibar. Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Atowa Ahadi ya Kukabidhi Zawadi ya Laptop Kwa Wanafunzi Watakoofanya Vizuri Mitihani Yao!

Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe. Ayoub Mohammed Mahmoud akimkabidhi zawadi ya Dola 100 Mwanafunzi Bora wa Kidatu cha Sita Skuli ya Tumekuja Zanzibar Mwanafunzi Abdulkadir Mustafa Zuberi kwa kufanya Vizuri masoyo ya Sanyansi ya Phizikia, Chemisitr na Hesabati.Kuchukua nafasi ya kwanza katika masomo hayo.
Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe. Ayoub Mohammed Mahmoud akimkabidhi Chiti cha Mwanafunzi Bora kwa Mwaka wa 2018 katika Skuli ya Sekondari ya Tumekuja Kidatu cha Sita Mwanafunzi Abdulkadir Mustafa Zuberi kwa kufanya Vizuri masoyo ya Sanyansi ya Phizikia, Chemisitr na Hesabati.Kuchukua nafasi ya kwanza katika masomo hayo.



















No comments :

Post a Comment