Top Leaderboard Advert

Zacadia Patreon

Mwanakwerekwe shops ad

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

Zanzibar Diaspora

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Sunday, May 20, 2018

ZACADIA YAPELEKA FUTARI KWA WATOTO MAYATIMA WA PEMBA NA UNGUJA!

Ndugu zetu wa ZACADIA (Zanzibar-Canadian Diaspora Association) wa huko Toronto, Canada,  kama kawaida yao wamewaletea watoto mayatima wa kutoka Pemba na Unguja futari na Idi yao. Kila mwaka ZACADIA huwa inafanya hivyo na kwa mwaka jana mambo yalikuwa kama yalivyo hapa chini:


Pia, Container la futi 40 limo kuandaliwa kwa kujazwa wheelechairs, walkers, etc kwa ajili ya kuletwa Zanzibar. Kama unataka na wewe ubahatike na baraka za mwezi huu mtukufu basi zungumza na Secretary wa ZACADIA @+1.416.994.6422


No comments :

Post a Comment