Msanii wa muziki nchini Mareka, Eminem ameripotiwa kununua tiketi zote za jumba la filamu mjini Detroit kwa ajili ya watu kuingia bure kwenye uzinduzi rasmi wa filamu 'Bodied' ambayo amehusika kama mtayarishaji.
Kupitia ukurasa wake wa Instagram Eminem KUWA ameandika amenunua tiketi zote za leo ijumaa na kesho Jumamosi na watu watakaopata nafasi ya kufika mapema watapatiwa na kuingia bure.
"DETROIT! Come through and get BODIED! I bought out the theater, so tickets on me for the Friday and Saturday @BodiedMovie 6:40pm screenings at the AMC 30 in Sterling Heights. First come first serve," ameeeleza Eminem.
Filamu hiyo inahusu vita ya rap (battle rap) pamoja na ucheshi ambapo imeongozwa na Joseph Khan na kutayarishwa na Adi Shankar, Eminem na meneja wake Paul Rosenberg.

No comments :
Post a Comment