zanglassworks

AirFreight

Kwarara Msikitini

Dual Citizenship #2

Dual Citizenship #2

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

Mwanakwerekwe shops ad

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Saturday, November 10, 2018

Rais Magufuli: Mimi ni askari niliyeiva sitikisiki hata kwa upepo wa aina gani!


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli amesema kuwa yeye kama askari aliyeiva huwa hatikisiki hata kwa upepo wa aina gani.

Rais Magufuli leo Novemba 10, wakati akikagua magari ya JWTZ yaliyoandaliwa kwa ajili ya ununuzi wa korosho.

"Mimi kama Amiri Jeshi Mkuu najisikia raha sana na furaha kubwa ninapokuwa na wanajeshi kama nyinyi . Mimi ni askari niliyeiva huwa sitikisiki hata kwa upepo wa aina gani na mara nyingi waliojaribu kunitingisha walitingisika wenyewe, lakini nafahamu kuna Jeshi la wananchi wa Tanzania ambao kwenye historia yao tangu lilipoanza halitingishiki na wala halitegemei kutikisika wala kamwe halitatikisika katika maisha yote tangu Jeshi hili lianzishwe," amesema Rais Magufuli.

No comments :

Post a Comment