Kwarara Msikitini

airbnb

Dual Citizenship #2

Dual Citizenship #2

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

Mwanakwerekwe shops ad

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Saturday, January 12, 2019

Rais Shein aeleza fedha zilizokusanywa Zanzibar 2017/18!

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein amsema kwa
kipindi cha mwaka 2017 hadi 2018 Zanzibar ilikusanya mapato ya Tsh. Bilion 688.7.

Rais Shein amebainisha hayo leo alipokuwa akizungumza na maelfu ya wananchi waliohudhuria
Maadhimisho ya Miaka 55 ya Mapinduzi Zanzibar.

"Kutokana na jitihada kubwa ya serikali ya kuimarisha uchumi wake, ukusanyaji wa mapato
umeongezeka, jumla ya shilingi za Kitatanzania Bilioni 688.7, zilikusanywa mwaka 2017/18 na
Taasisi zetu za mapato Tanzania (TRA) na Bodi ya Mapato Zanzibar (ZRB)," ameeleza Rais Shein.

Ameendelea kwa kusema, 'Mafanikio ya ukuaji wa uchumi yametuwezesha kupunguza hali ya utegemezi wa bajeti yetu ambayo hivi sasa imefikia Asilimia 5.1 kwa mwaka 2018/19 ikilinganishwa na utegemezi wa Asilimia 7.3 mwaka 2017/18'.

No comments :

Post a Comment