Pia amewatumia barua hiyo Spika wa mabunge yote ya Afrika kwa nchi wanachama wa Jumuiya ya Madola, Wadhibiti na Wakaguzi Wakuu wa Hesabu za Serikali wa Afrika katika nchi za Jumuiya ya Madola pamoja na Spika wa nchi za Jumuiya ya Nchi Kusini mwa Afrika (SADC).Hatua hiyo imekuja baada ya Spika Ndugai kumtaka CAG, Prof. Assad kufika mbele ya kamati hiyo Januari 21, mwaka huu, kujieleza kuhusu kauli yake aliyoitoa akiwa nchini Marekani kuwa ‘Bunge ni dhaifu’ hatua ya Spika Ndugai kumwita CAG Prof. Assad, kwenye kamati ya maadili kuhojiwa iliibua mjadala kwa wadau mbalimbali.
Hili blog ni kuhusu Tanzania na dunia nzima kwa ujumla. Pita kila siku kwa habari moto moto. (This blog is about Tanzania and the world as a whole. Pass-by everyday for breaking news). ***********************KARIBUNI NYOTE / YOU ARE ALL WELCOME!***********************
Friday, January 11, 2019
Spika Ndugai ashtakiwa na Zitto Kabwe sakata la CAG!
Pia amewatumia barua hiyo Spika wa mabunge yote ya Afrika kwa nchi wanachama wa Jumuiya ya Madola, Wadhibiti na Wakaguzi Wakuu wa Hesabu za Serikali wa Afrika katika nchi za Jumuiya ya Madola pamoja na Spika wa nchi za Jumuiya ya Nchi Kusini mwa Afrika (SADC).Hatua hiyo imekuja baada ya Spika Ndugai kumtaka CAG, Prof. Assad kufika mbele ya kamati hiyo Januari 21, mwaka huu, kujieleza kuhusu kauli yake aliyoitoa akiwa nchini Marekani kuwa ‘Bunge ni dhaifu’ hatua ya Spika Ndugai kumwita CAG Prof. Assad, kwenye kamati ya maadili kuhojiwa iliibua mjadala kwa wadau mbalimbali.
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
No comments :
Post a Comment