BOTI iliyobeba watalii kutoka Mombasa Kenya ikiwasili katika bandari ya Wete, Pemba (PICHA NA SAID ABDULRAHMAN PEMBA)
BOTI iliyotengenezwa kwa takataka za plastiki ikiwa na baadhi ya watalii ikiwasili katika bandari ya wete ikitokea Mombasa nchini Kenya, (PICHA NA SAID ABDULRAHMAN PEMBA)
Katrina Elleke kutoka nchini Jamaica akiwafundisha wanafunzi na baadhi ya viongozi waliofika bandarini Wete kwa ajili ya kuwapokea namna ya kuisarifu chupa ya plastic na kufanya kamba, (PICHA NA SAID ABDULRAHMAN PEMBA

No comments :
Post a Comment