Kwarara Msikitini

airbnb

Dual Citizenship #2

Dual Citizenship #2

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

Mwanakwerekwe shops ad

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Tuesday, February 5, 2019

Mkutano wa Kumi na Tatu wa Baraza la Tisa la Wawakilishi kuanza kesho tarehe 06/02/19!

Katibu wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Raya Issa Msellem(katikati)akizungumza na Waandishi wa Habari wa Vyombo mbalimbali kuhusiana na Taarifa ya Shughuli za Mkutano wa Kumi na Tatu wa Baraza la Tisa la Wawakilishi utakaoanza 06-Februari-2019 katika ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar,kulia yake ni Mkuu wa Idara ya Utawala na Rasilimali watu Baraza la Wawakilishi Amour Mohammed Amour na kushoto ni Mshauri wa Sheria wa Baraza la Wawakilishi na Mkuu wa Shughuli za Baraza.
Mwandishi wa Habari wa Bomba FM Mwinyi Sadala akiuliza maswali katika Mkutano wa Katibu wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Raya Issa Msellem na Waandishi wa Habari kuhusiana na Taarifa ya Shughuli za Mkutano wa Kumi na Tatu wa Baraza la Tisa la Wawakilishi utakaoanza 06-Februari-2019 katika ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar.
Baadhi ya Waandishi wa Habari wa Vyombo mbalimbali waliohudhuria katika katika Mkutano wa Katibu wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Raya Issa Msellem kuhusiana na Taarifa ya Shughuli za Mkutano wa Kumi na Tatu wa Baraza la Tisa la Wawakilishi utakaoanza 06-Februari-2019 katika ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar.
Katibu wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Raya Issa Msellem akifafanua baadhi ya maswali yalioulizwa katika Mkutano wake na Waandishi wa Habari kuhusiana na Taarifa ya Shughuli za Mkutano wa Kumi na Tatu wa Baraza la Tisa la Wawakilishi utakaoanza 06-Februari-2019 katika ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar.


PICHA NA YUSSUF SIMAI/MAELEZO ZANZIBAR.

No comments :

Post a Comment