Kwarara Msikitini

Dual Citizenship #2

Dual Citizenship #2

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

Mwanakwerekwe shops ad

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Tuesday, March 19, 2019

Maalim Seif akabidhiwa kadi ACT Wazalendo!


Maalim Seif Sharif Hamad, ambaye alikuwa Katibu Mkuu wa CUF, amekabidhiwa kadi namba moja ya Chama cha ACT Wazalendo.

Baadhi ya Wanachama wengine wa CUF waliokabidhiwa Kadi za ACT Wazalendo, ni pamoja na aliyekuwa Mgombea mwenza wa Urais katika Uchaguzi wa mwaka 2015 kwa tiketi ya CHADEMA, Juma Duni Haji, na Ismail Jussa.



Utakumbuka hapo jana  Marchi 18, 2019 aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi CUF, Maalim Seif  alitangaza kujiunga na Chama cha ACT Wazalendo. Hiyo ni baada ya Mwenyekiti wa CUF, Prof. Ibrahim Lipumba kutimua kiongozi hiyo.

No comments :

Post a Comment