Kwarara Msikitini

Dual Citizenship #2

Dual Citizenship #2

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

Mwanakwerekwe shops ad

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Tuesday, March 19, 2019

Prof. Lipumba afunguka Maalim Seif kutimkia ACT Wazalendo!

Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi CUF, Prof. Ibrahim Lipumba amesema kitendo cha Maalim Seif kuhama CUF na kwenda ACT Wazalendo ni kama vile kapoteza alama ya CUF, ikiwamo kumbukumbu ya mauaji ya wafuasi 31 wa chama hicho, Januari 27, 2001 yaliyotokea huko Pemba.

Utakumbuka hapo jana Marchi 18, 2019 aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi CUF, Maalim Seif alitangaza kujiunga na Chama cha ACT Wazalendo.

Prof. Lipumba amesema kuondoka kwa Maalim Seif ni kutokana na kumdekeza kwa kipindi kirefu ndani ya chama hicho cha upinzani.

Pia hapo jana Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam ilikubaliana na uamuzi wa Msajili wa Vyama vya Siasa nchini wa kumtambua Prof. lbrahimu Lipumba kuwa Mwenyekiti halali wa Chama cha Wananchi CUF, huku ikitupilia mbali maombi yaliyofunguliwa na Maalimu Seif aliyeomba mahakama kutoa amri ya kubatilisha barua ya Msaji|i wa Vyama ya kumtambua Profesa Lipumba kuwa Mwenyekiti.

2 comments :

  1. Bwana tayari kushaachiwa jina liunganishe tu cuf na ccm tena muende mbele akn sio watu hupati hata mtu oja wenye akili labda Khalifa na wanywa gongo wenziwe endeleni kama chama ni herufi basi wewe endelea lakini lipumbu omba khatma njema maisha haya ni mafupi mno eti unauwa chama ogopa kufa wewe na watu wengi hawako pamoja na we muogope mwenyezi mungu popote ulipo na utaipwa hapa hapa dunia cuf ilianza Zanzibar iweje wewe unahangaika nayo,

    ReplyDelete
  2. Wewe ulipewa lift unataka udereva cuf wamekuachia sukani na gari tupu chama ni watu na sio herufi au silabi njoo zanzibar na askari ukague majimbo ya wabunge wako, ambao hawawezi kukuamini hata usingizini, wote watakwenda ACT wazalendo wamempa shavu ZITTakua wengi ACTO ANAGALIA Uchaguzi wabunge watakua wengi ACT hii ndio kulala maskini na kuamka tajiri

    ReplyDelete