Kwarara Msikitini

airbnb

Dual Citizenship #2

Dual Citizenship #2

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

Mwanakwerekwe shops ad

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Saturday, October 5, 2019

RAIS DKT. MAGUFULI AWAHUTUBIA WANANCHI WA VWAWA MKOANI SONGWE!

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi Mbozi katika mkutano uliofanyika katika mji wa Vwawa mkoani Songwe.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwasalimia wakazi wa Mbozi wakati akitoka kuweka jiwe la msingi mradi wa uboreshaji wa huduma ya maji  Vwawa mkoani Songwe.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiangalia vikundi vya ngoma za asili kabla ya kuwahutubia wananchi wa Vwawa mkoani Songwe.



 Wananchi wa Mbozi wakifurahia hotuba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  Dkt. John Pombe Magufuli  wakati akiwahutubia katika mji wa Vwawa. 
 Waziri wa Kilimo Japhet Hasunga akicheza ngoma ya kiasili wakati kikundi cha Vwawa kikitumbuiza mara baada ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli kuwasili katika eneo hilo.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Mbunge wa Momba (Chadema) David Silinde mara baada ya kuwahutubia wananchi Mbozi katika mkutano uliofanyika katika mji wa Vwawa mkoani Songwe. 

PICHA NA IKULU

No comments :

Post a Comment