Kwarara Msikitini

airbnb

Dual Citizenship #2

Dual Citizenship #2

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

Mwanakwerekwe shops ad

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Saturday, November 16, 2019

Burundi yainyanyasa Zanzibar michuano ya CECAFA!

Timu ya Taifa ya Wanawake ya Zanzibar leo imeanza kwa kuchechemea baada ya kufungwa mabao 5-0 mbele ya Burundi kwenye mchezo wa michuano ya Cecafa uliochezwa uwanja wa Chamazi.

Burundi ilianza kupachika bao dakika ya 24 kupitia kwa Sakina Saidi na lile la pili akalipachika dakika ya 35 bao la tatu lilipachikwa na Sandrine Niyonkuru dakika ya 55 huku lile la nne likipachikwa na Aziza Haji ambaye alijifunga wakati anaokoa hatari.

Mkwaju wa mwisho ulipachikwa na Aniela dakika ya 88 na kuhitimisha jumla ya mabao 5-0 kwa Burundi.



No comments :

Post a Comment