Kwarara Msikitini

Dual Citizenship #2

Dual Citizenship #2

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

Mwanakwerekwe shops ad

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Tuesday, November 5, 2019

Dk. Shein akutana na Balozi wa Korea nchini Tanzania!

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akisalimiana na Balozi wa Jamhuri ya Korea Nchini Tanzania Mhe.CHO Taeick wakati alipofika kwa mazungumzo Ikulu Mjini Zanzibar leo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) alipokuwa akitambulishwa kwa Maafisa wa Ubalozi wa Jamhuri ya Korea Nchini Tanzania waliofuatana Balozi Mhe.CHO Taeick (katikati) kabla ya mazungumzo yaliyofanyika leo walipofika Ikulu Mjini Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akimsikiliza mgeni wake Balozi wa Jamhuri ya Korea Nchini Tanzania Mhe.CHO Taeick wakati wa mazungumzo yao yaliyofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar.

No comments :

Post a Comment