Moroco amekitangaza kikosi hicho mbele ya Waandishi wa Habari kwenye ukumbi wa ZFF Amani Mjini Unguja, amesema hicho ni kikosi cha awali ambapo wataanza mazoezi Novemba 14 kwa Wachezaji wanaocheza ligi kuu Soka ya Zanzibar kisha baadae wataungana na wale wenzao kutokea ligi Kuu soka Tanzania bara.
MAKIPA
1.Abdul-latif Said Masoud (Jamhuri)
2. Mohamed Abrahman (JKT TZ)
3.Mohamed Muali (Polisi Tz)
4.Abdallah Rashid "Babu" (Ruvu Shooting)
5.Haji Juma "Chafu" (JKU)
6.Ahmed Ali "Salula" (Malindi)
7.Vuai Makame Jecha (KMKM)
WALINZI
1.Suleiman Said Juma (Zimamoto)
2.Mohammed Othman Mmanga (Polisi Tz)
3.Ibrahim Mohamed "Sangula" (KVZ)
4.Mwinyi Haji Ngwali (KMKM)
5.Juma Kukuti Adam (Polisi Tz)
6.Ally Haji (Mwenge)
7.Abdul Malik Adam (Mafunzo)
8.Ali Juma Maarifa (Malindi)
9.Issa Haidar Dau (JKU)
10.Abdallah Kheir (Azam)
11.Ibrahim Ame Mohd (Coastal Union)
12.Ally Ally (Yanga)
13.Abubakar Ali (Mlandege)
14.Ibrahim Hamad (Malindi)
15.Agrey Morris (Azam)
16.Abubakar Ame "Luiz" (Malindi)
VIUNGO
1.Abdul aziz Makame (Yanga)
2.Abdul swamad Kassim (Kagera)
3.Awesu Awesu (Kagera)
4.Mudathir Yahya (Azam)
5.Is haka Said (KMKM)
6.Adam Ibrahim "Edo" (KMKM)
7.Kassim Suleiman (Azam)
8.Haroun Abdallah (Zimamoto)
9.Feisal Salum (Yanga)
10.Mohamed Issa (Yanga)
11.Mustafa Muhsin "Park" (Zimamoto)
12.Helefin Salum (Mlandege)
13.Baraka Shaaban (Ruvu Shooting)
14.Khalid Shaaban (Rich boys)
15.Abdallah Hassan Nassor "Abal" (Polisi Tz)
16.Mohd Mussa (Mbeya City)
17.Mohamed Abdallah (Mlandege)
18.Ally Juma "Larson" (Mafunzo)
WASHAMBULIAJI
1.Ibrahim Hamad "Hilika" (Zimamoto)
2.Abdul nassir Asaa (Mlandege)
3.Khamis Mussa "Rais" (Malindi)
4.Said Salum "Etoo" (Kipanga)
5.Ibrahim Abdallah "Imu Mkoko" (Malindi)
6.Mussa Ali Mbarouk (KMKM)
KILA LA KHERI TIMU YETU YA TAIFA.
No comments :
Post a Comment