Kwarara Msikitini

Dual Citizenship #2

Dual Citizenship #2

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

Mwanakwerekwe shops ad

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Tuesday, November 5, 2019

Ofisi ya Bunge yawapatia Wabunge 'Tablets' za kutumia katika shughuli za Bunge!

Waheshimiwa Wabunge wakipitia tablets walizopewa na Ofisi ya Bunge kwa lengo la kuwasidia katika matumizi ya shughuli za Bunge na kuondoa matumizi ya karatasi.
Waheshimiwa Wabunge wakipitia tablets walizopewa na Ofisi ya Bunge kwa lengo la kuwasidia katika matumizi ya shughuli za Bunge na kuondoa matumizi ya karatasi.
Afisa Ugavi Msaidizi, Ndg. Tatu Kwayu akimkabidhi tablet Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Haki, Maadili na Madraka ya Bunge, Mhe. Emmanuel Mwakasaka zoezi lililofanyika leo katika Ukumbi wa Msekwa Bungeni Jijini Dodoma.
Katibu wa Bunge, Ndg. Stephen Kagaigai akizungumza wakati wa zoezi la kuwapatia Waheshimiwa Wabunge tablets kwa ajili ya kuwasaidia katika matumizi ya shughuli za Bunge lengo likiwa ni kuondoa matumizi ya karatasi. Zoezi hilo limefayika siku moja kabla ya kuanza kwa Mkutano wa Kumi na Saba wa Bunge Jijini Dodoma. Kushoto ni Mwenyekiti wa Bunge, Mhe. Adrew Chenge.

No comments :

Post a Comment