Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es salaam imeamuru wabunge wanne wa (Chadema) John Heche, Mchungaji Peter Msigwa, Halima Mdee na Ester Bulaya wakamatwe kwa kukiuka masharti ya dhamana.
Amri hiyo imetolewa leo na Hakimu Mkazi Mkuu, Thomas Simba baada ya wabunge hao kutokuwepo mahakamani bila taarifa yoyote. Hata wadhamini wao pia hawakuwepo.
Amri hiyo imetolewa leo na Hakimu Mkazi Mkuu, Thomas Simba baada ya wabunge hao kutokuwepo mahakamani bila taarifa yoyote. Hata wadhamini wao pia hawakuwepo.
No comments :
Post a Comment